Mon Mar 05 2018 20:51:55 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)
This commit is contained in:
parent
f73872c5c9
commit
31bd0316b6
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 25 \v 26 Utazichoma sanamu za kuchonga za miungu yao- usitamani madini ya fedha au dhahabu yanayofunika na kuichukua kwa ajili yenu, kwa sababu mkifanya, mtanaswa nayo-kwa kuwa ni chukizo kwa Yahweh
|
||||
\v 25 \v 26 Utazichoma sanamu za kuchonga za miungu yao- usitamani madini ya fedha au dhahabu yanayofunika na kuichukua kwa ajili yenu, kwa sababu mkifanya, mtanaswa nayo-kwa kuwa ni chukizo kwa Yahweh Mungu wenu. Hamtaleta chukizo lolote ndani ya nyumba zenu na kuanza kuiabudu. Mtachukizwa kabisa na kuchukia kwa kuwa imetengwa kwa ajili ya uharibifu.
|
Loading…
Reference in New Issue