Tue Apr 03 2018 11:09:12 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2018-04-03 11:09:13 +03:00
parent a4bf832601
commit 1e3296de11
3 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 \v 7 Unaweza kula wanyama wowote ambao wamegawanyika kwako, ambaye ana kwato zilizogawanyika mara mbili, na utafuna macheuo. Hata hivyo, haupaswi kula baadhi ya wanyama ambao utafuna macheuo au ambao wana kwato zilizogawanyika mara mbili: ngamia, sungura, pomono, kwa sababu watafuna macheuo lakini hawajagawanyika kwato zo, ni najisi kwenu.
\v 6 \v 7 Mnaweza kula wanyama wowote ambao wamegawanyika kwato, ambaye ana kwato zilizogawanyika mara mbili, na utafuna macheuo. Hata hivyo, hampaswi kula baadhi ya wanyama ambao utafuna macheuo au ambao wana kwato zilizogawanyika mara mbili: ngamia, sungura, pomono, kwa sababu watafuna macheuo lakini hawajagawanyika kwato, ni najisi kwenu.

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Nguruwe ni najisi kwenu pia kwa sababu amegawanyika katika kwato lakini hatafuni macheuo; ni najisi kwenu. Msile nyama ya nguruwe, na msiguse mizoga yao.
\v 8 Nguruwe ni najisi kwenu pia kwa sababu amegawanyika kwato lakini hatafuni macheuo; ni najisi kwenu. Msile nyama ya nguruwe, na msiguse mizoga yao.

View File

@ -232,6 +232,8 @@
"13-15",
"13-17",
"14-01",
"14-03",
"14-06",
"16-01",
"16-03",
"16-05",