Wed Mar 28 2018 08:11:58 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2018-03-28 08:11:59 +03:00
parent 2fd7e8bf22
commit 18516bbd34
3 changed files with 3 additions and 0 deletions

1
23/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 \v 22 \v 23 Unapofanya kiapo kwa Yahwe Mungu wako, haupaswi kukawia kuikamilsha, kwa maana Yahwe Mungu wako hakika atadai kiapo hicho; itakuwa dhambi kako usipokamilisha. Lakini iwapo utajizuia kutoa kiapo, haitakuwa dhambi kwako. Kile ambacho kimetoka kinywani mwako unapaswa kukifuata na kukitekeleza; kulingana na kiapo ulichotamka kwa Yahwe Mungu wako, chochote ulichotamka kwa hiari kwa kinywa chako.

1
23/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 \v 25 Utakapokwenda katika shamba la mizabibu la jirani yako, unatakiwa kula mizabibu idadi yoyote unayotaka, lakini hautakiwi kuhifadhi yoyote katika kikapu chako. Utakapokwenda katika shamba la zao lililoiva la jirani yako, unaweza kuvuna kichwa cha mavuno kwa mkono wako, lakini haupaswi kutumia mundu kuvuna zao lililoiva la jirani yako.

1
24/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 24 \v 1 \v 2 Mwanamume akimchukua mke na kumuoa, na mke asipokubalika machoni pa mumewe kwa sababu kagundua jambo ambalo si jema kwake, basi anatakiwa amwandikie talaka, aiweke mkononi mwake, na kumfukuza nyumbani kwake. Akishaondoka nyumbani kwake, anaweza kwenda na kuwa mke wa mwanamume mwingine.