Fri Mar 30 2018 20:08:24 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)
This commit is contained in:
parent
55fa48bb34
commit
159570b95f
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 12 \v 13 Kusanya watu, wanaume, wanawake, na wadogo, na mgeni wako aliye miongoni mwa malango yako, ili waweze kusikia na kujifunza, na ili kwamba wamheshimu Yahwe Mungu wako na kushika maneno yote ya sheria hii. Fanya hivi ili kwamba watoto wao, ambao hawajajua, waweze kusikia na kujifunza kumheshimu Yahwe Mungu wako, maadamu unaishi katika nchi ambayo utaenda juu ya Yordani kuimiliki.”
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 14 \v 15 Yahwe alimwambia Musa, “Tazama, siku inakuja ambayo lazima utakakufa; muite Yoshua na mjidhihirishe katika hema la makutano, ili kwamba niweze kuwapatia amri.” Musa an Yoshua waliondoka na kujidhihirisha katika hema la makutano.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Yawhe alijitokeza katika hema kwa nguzo ya wingu; nguzo ya wingu ilisimama mlangoni pa hema. Yahwe alimwambia Musa, “Tazama, utalala na baba zako; watu hawa watainuka na kujifanya kama kahaba na kwenda kwa miungu ya ajabu ambayo imo miongoni mwao katika nchi wanapokwenda. Wataniacha na kuvunja agano langu ambalo nimefanya nao.
|
Loading…
Reference in New Issue