Sat Mar 31 2018 15:50:30 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2018-03-31 15:50:30 +03:00
parent 08f211f033
commit 0a59430f96
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
Unapaswa kufanya waamuzi na maakida ndani ya malango yako ambayo Yahwe Mungu wako anakupa; watachukuliwa toka kila kabila, and watahukumu watu kwa hukumu ya haki. Haupaswi kuiondoa haki kwa nguvu; haupaswi kuonesha upendeleo wala kuchukua rushwa, kwa kuwa rushwa upofusha macho ya hekima na
\v 18 \v 19 \v 20 Unapaswa kufanya waamuzi na maakida ndani ya malango yako ambayo Yahwe Mungu wako anakupa; watachukuliwa toka kila kabila, and watahukumu watu kwa hukumu ya haki. Haupaswi kuiondoa haki kwa nguvu; haupaswi kuonesha upendeleo wala kuchukua rushwa, kwa kuwa rushwa upofusha macho ya hekima na kupotosha maneno ya haki. Unapaswa kufata baada ya haki, baada ya haki peke yake, ili kwamba uishi na kurithi nchi ambayo Yahwe Mungu wako anakupa.

View File

@ -47,6 +47,7 @@
"16-11",
"16-13",
"16-15",
"16-16"
"16-16",
"16-18"
]
}