Tue Mar 06 2018 04:16:29 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)
This commit is contained in:
parent
bd196c10d1
commit
084b49b847
|
@ -1 +1 @@
|
|||
Lakini mtamwita akilini Yahweh Mungu wenu, kwa kuwa ni yeye awapae ninyi nguvu ya kupata utajiri, ili kwamba aweze kuanzisha agano lake aliloapa kwa baba zenu, kama ilivyo leo. Itakuwa kwamba, kama mtamsahau Yahweh Mungu wenu na kuwaendea miungu mingine, kuibudu, na kuiheshimu, nashuhudia kinyume nanyi leo kwamba mtateketea. Kama mataifa ambayo Yahweh anatengeneza kuyaangamiza mbele yenu,
|
||||
\v 18 \v 19 \v 20 Lakini mtamwita akilini Yahweh Mungu wenu, kwa kuwa ni yeye awapae ninyi nguvu ya kupata utajiri, ili kwamba aweze kuanzisha agano lake aliloapa kwa baba zenu, kama ilivyo leo. Itakuwa kwamba, kama mtamsahau Yahweh Mungu wenu na kuwaendea miungu mingine, kuibudu, na kuiheshimu, nashuhudia kinyume nanyi leo kwamba mtateketea. Kama mataifa ambayo Yahweh anatengeneza kuyaangamiza mbele yenu, hivyo mtaangamia, kwa sababu hamkusikiliza sauti ya Yahweh Mungu wenu.
|
Loading…
Reference in New Issue