Wed Mar 28 2018 08:24:23 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)
This commit is contained in:
parent
1a9d8baa25
commit
0810cf67e3
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 17 \v 18 \v 19 Kumbuka ni jambo gani Amaleki alichofanya kwako barabarani ulipokuwa ukitoka Misri, jinsi alivyokutana na wewe barabarani na kuwashambulia kati yenu kwa nyuma, wale waliokuwa wamelegea nyuma, mlipokuwa dhaifu na kuchoka, hakumheshimu Mungu. Kwa hiyo, Yahwe Mungu wako atakapowapa pumziko kutoka kwa maadui zako kila sehemu, katika nchi ambayo Yahwe Mungu wako anawapatia kumiliki kama urithi, hautakiwi kusahau kuwa unapaswa kufuta kumbukumbu ya Waamaleki chini ya mbingu.
|
Loading…
Reference in New Issue