sw_deu_text_ulb/13/10.txt

1 line
251 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 10 \v 11 Mtamponda mpaka kufa kwa mawe, kwa sababu amejaribu kuwaondoa kutoka kwa Yahwe Mungu wenu, ambaye aliwatoa kutoka nchi ya Misri, nje ya nyumba ya utumwa. Israel yote itasikia na kuogopa, na haitaendelea kufanya aina ya uovu miongoni mwenu.