sw_deu_text_ulb/26/06.txt

1 line
202 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 6 Wamisri walitutendea vibaya na kututesa. Walitulazimisha kufanya kazi za watumwa. \v 7 Tulimlilia Yahwe, Mungu wa baba zetu, naye akasikia sauti yetu na kuona mateso yetu, kazi zetu na mateso yetu.