1 line
252 B
Plaintext
1 line
252 B
Plaintext
|
\v 12 \v 13 Iwapo ni mtu maskini, hautakiwi kulala na dhamana yake ikiwa mikononi mwako. Hakika unapaswa kumrejeshea dhamana yake kabla jua halijazama, ili aweze kulala ndani ya vazi lake na akubariki; itakuwa utakatifu kwako mbele za Yahwe Mungu wako.
|