\v 12 \v 13 Yeyote anayefanya kwa kiburi, kwa kutomsikiliza kuhani anayesimama kutumika mbele ya Yahwe Mungu, au kwa kutomsikiliza mwamuzi- huyu mtu atakufa; mtaweka mbali uovu kutoka Israeli. Watu wote wanapaswa kusikia na kuogopa, na kutofanya kwa kiburi tena.