sw_deu_text_ulb/02/01.txt

1 line
273 B
Plaintext
Raw Normal View History

\c 2 \v 1 \v 2 \v 3 Kisha tuligeuka na kuanza safari kuelekea jangwani kwa njia ya Bahari ya Mianzi, kama Yahweh alivyokwisha sema nami, tulienda kuzunguka mlima wa Seir kwa siku nyingi. Yahweh alisema nami, kusema, Mmeuzungunga mlima huu kwa muda mrefu; geukeni kaskazini.