sw_deu_text_ulb/31/16.txt

1 line
336 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 16 Yawhe alijitokeza katika hema kwa nguzo ya wingu; nguzo ya wingu ilisimama mlangoni pa hema. Yahwe alimwambia Musa, “Tazama, utalala na baba zako; watu hawa watainuka na kujifanya kama kahaba na kwenda kwa miungu ya ajabu ambayo imo miongoni mwao katika nchi wanapokwenda. Wataniacha na kuvunja agano langu ambalo nimefanya nao.