sw_deu_text_ulb/01/12.txt

1 line
299 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 12 \v 13 \v 14 Lakini inawezekanaje mimi peke yangu kubeba shehena zako na mizigo yako na migogoro yako? Chukua wanaume wenye hekima, wanaume waelewa, na wanaume walio na sifa nzuri toka kila kabila, nitawafaya kuwa vichwa juu yako. Ulinijibu na kusema, 'Jambo ulilolisema ni zuri kwetu kufanya.'