sw_deu_text_ulb/24/16.txt

1 line
177 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 16 Wazazi hawapaswi kuuwawa kwa niaba ya watoto wao, na wala watoto hawapaswi kuuawa kwa niaba ya wazazi wao. Badala yake, kila mtu anapaswa kuuwawa kwa dhambi yake mwenyewe.