sw_deu_text_ulb/28/49.txt

6 lines
968 B
Plaintext
Raw Normal View History

<<<<<<< HEAD
\v 49 Yahwe ataleta taifa dhidi yako kutoka mbali, kutoka mwisho wa ulimwengu, kama tai arukaye kwa mhanga wake, taifa ambalo lugha yake hauelewi; \v 50 taifa lenye sura katili ambalo haliheshimu wazee na halionyeshi fadhila kwa wadogo. \v 51 Watakula wachanga wa ngombe wako na matunda ya ardhi yako hadi utakapoangamizwa. Hawatawaachia nafaka, divai mpya, au mafuta, wachanga wa ngombe au mifugo yako, hadi watakaposababisha kutoweka kwako.
=======
\v 49 \v 50 \v 51 Yahwe ataleta taifa dhidi yako kutoka mbali, kutoka mwisho wa ulimwengu, kama tai arukaye kwa mhanga wake, taifa ambalo lugha yake hauelewi; taifa lenye sura katili ambalo haliheshimu wazee na halionyeshi fadhila kwa wadogo. Watakula wachanga wa ngombe wako na matunda ya ardhi yako hadi utakapoangamizwa. Hawatawaachia nafaka, divai mpya, au mafuta, wachanga wa ngombe au mifugo yako, hadi watakaposababisha kutoweka kwako.
>>>>>>> 410b11ec67eb790b55795bef49ab0223db06c4bc