\v 17 \v 18 Nilizichukua mbao mbili na kuzitupa toka mikononi mwangu. Nilizivunja mbele ya macho yenu. Tena nilala kifudifudi mbele ya Yahweh kwa siku arobaini na usiku arobaini; wala sikula mkate waka kunywa maji, kwa sababu dhambi zenu zote ambazo mlikuwa mmefanya, kwa kufanya hivyo ambavyo ilikuwa ni mbaya machoni pa Yahweh, ili kwamba kumchochea yeye katika hasira.