sw_deu_text_ulb/21/06.txt

1 line
258 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 6 Wazee wote wa mji ulio karibu na mtu aliyeuawa wanapaswa kunawa mikono yao juu ya mtamba aliyevunjwa shingo bondeni; \v 7 na wanapaswa kutoa suhulisho juu ya jambo hilo na kusema, Mikono yetu haijamwaga damu hii, wala macho yetu hayajaona suala hili.