sw_1ti_text_ulb_rev/04/11.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 11 Uyaseme na kuyafundisha mambo haya. \v 12 Mtu yeyote asiudharau ujana wako. Badala yake, uwe mfano kwa wote waaminio, katika usemi, mwenendo, upendo, uaminifu, na usafi. \v 13 Mpaka nitakapokuja, dumu katika kusoma, katika kuonya, na katika kufundisha.