sw_1ti_text_ulb_rev/06/06.txt

1 line
188 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 6 Sasa utauwa na kuridhika ni faida kubwa. \v 7 Kwa maana hatukuja na chochote duniani. Wala hatuwezi kuchukua chochote kutoka duniani. \v 8 Badala yake, tutosheke na chakula na mavazi.