zmb-x-kwange_mrk_text_reg/10/32.txt

1 line
540 B
Plaintext

\v 32 Wadipokula njeelani, kugenda Yerusalemu, Yesu alegee amewatanguriya mbelee yago. Wanafunzi wadishangila, na wage wadilepo wanafwata kigongo wadiogopa. Ndipo Yesu akamate za pembeni tena wadia kumina tubudi na akaganea kuwakuoza ambage kitamtokela hibi kadibuni. \v 33 '' Loola, tukwenda tii Jerusalemu,na mwaana wa adamu atafikwa kwa makuhanii wakuuli na wandishi. Watamhuna afue na wata mtola kwa bantu wa matadifa. \v 34 Watamzihaki, wata mtenu matee, watamututa fuimbo, na wadia kumufua. Lakini baagala ya luusu tchitatu afufuka.''