\v 27 Yesu kugoza, sabato kubunda kwa adjili ya wana Adamu, sio wana adamu kwa adjili ya sabato. \v 28 Kwa didia, ya mwana nwa adamu ni Bwana ata kwa sabato.