zmb-x-kwange_heb_text_reg/09/08.txt

1 line
451 B
Plaintext

\v 8 Kitema kitakatifu kimushudiya kwamba, njela ya pahadi patakatifu zagidi bado hishikufungudiwa kwa gile idi hema lakuganza bado linaimama. \v 9 Hidi ni bigelekezo cha mudaa hudia wa sasa. byonso zawadi na zabihu ambago nitolewa sasa bishikugweza kukamidisha zamiri yadile abudu. \v 10 Ni byakudia na vitoma ipege vimeungeukweshwa katika namuna ya taribu za ibada ya kujigogasha. Byonso ibi vitangesha hadi ivaa amuri impya ikayutokela mahadi page.