swc-x-swakatanga_1jn_text_reg/05/04.txt

1 line
196 B
Plaintext

\v 4 kwamana bote bale banazarika na Mungu bana weza dunia ; na ushindi ya kuwina ndunia , ni imani yetu. \v 5 Nani ule ariwina dunia , kama ayina ule eko na aminiya asema Yesu ni Mutoto wa Mungu?