swc-x-swakatanga_1jn_text_reg/04/17.txt

1 line
317 B
Plaintext

\v 17 Vile eko , dju vile tuko na shiye dani ya dunia ; dju kwa ile mapendo ya mungu iko ya ukweri dani yetu . dju tu kuye na akika shiku ya mwisho . \v 18 Boka ina dani ya mapendo , lakini mapendo ya ukweri ina angusha boka ; kwamana boka buna onesha mapiko, na ule ana eko na ongopa ashina kweri dani ya mapendo.