swc-x-swakatanga_1jn_text_reg/02/07.txt

1 line
336 B
Plaintext

\v 7 Bapendwa , ayina mapsha ya sasa ile na miadikiya , kwalakini ni mapasha ya zamani ile muripata kwaziya mwandjo; ile mapasha ya zamani , ni ile neno murishikiya. \v 8 Kwalakini, ni mapasha ya sasa ile mirimiandjikiya , kile kiku kia kweri dani yake na kiko dani yenu, kwamana ginza inapoteya na mwangaza yakweri ina onekana sasa.