\v 6 Ule , Yesu Kristo , arikuya na mayi na damu ; apana paka na mayi , lakini na mayi na damu ; na ni Roh dju ina shudiya , kwamana Roh ni ya kweri. \v 7 kwalakini kunakuya tatu inashudiya ; \v 8 Roh , mayi na damu , na yote tatu ina itshikiya.