swc-x-swakatanga_1jn_text_reg/02/15.txt

1 line
323 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 15 Ushi pende dunia , wala bintu bia dunia . Kama muntu anapenda dunia , mapendo ya Baba ayina dani yake. \v 16 kwamana biote bile biko dani ya dunia , tama ya mwili , abatoke kwa Baba, lakini ni ba mudunia. \v 17 na dunia inapita , tama yayo nayo inapita ; kwalakini ule eko na fanya mapenzi ya Mungu ana ishi milele.