sw_rev_text_ulb/13/11.txt

1 line
313 B
Plaintext

\v 11 Tena nikaona mnyama mwingine anakuja kutoka katika nchi. Alikuwa mwenye pembe mbili kama kondoo na akazungumza kama joka. \v 12 Alidhihirisha mamlaka yote ya mnyama yule wa kwanza katika uwepo wake, na kufanya katika dunia na wale walioishi wamuabudu yule mnyama wa kwanza, yule ambaye jeraha lake limepona.