Mon Sep 04 2023 22:03:50 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-09-04 22:03:51 +03:00
parent a58adc6936
commit f527850ec0
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 Kwa hiyo, yaandike uliyoyaona, yaliyopo sasa, na yale yatakayotokea baada ya haya. \v 20 Kuhusu siri ya nyota saba ulizoziona katika mkono wangu wa kuume, na kile kinara cha dhahabu cha taa saba: Nyota saba ni malaika wa yale makanisa saba, na kinara cha taa saba ni yale makanisa saba."
\v 19 Kwa hiyo, yaandike uliyoyaona, yaliyopo sasa, na yale yatakayotokea baada ya haya. \v 20 Kuhusu siri ya nyota saba ulizoziona katika mkono wangu wa kuume, na kile kinara cha dhahabu cha taa saba: Nyota saba ni malaika wa yale makanisa saba, na kinara cha taa saba ni yale makanisa saba.

View File

@ -1 +1 @@
\c 2 \v 1 "Kwa malaika wa kanisa la Efeso andika: 'Haya ni maneno ya yule anayeshikilia zile nyota saba katika mkono wake wa kuume. Yeye atembeaye kati ya vinara vya dhahabu vya taa saba asema hivi, " \v 2 '"Najua ambacho umetenda na bidii yako ya kazi na uvumilivu wako thabiti, na kwamba huwezi kuhusiana nao walio waovu, na umewajaribu wote wanaojiita kuwa mitume na kumbe siyo, na wameonekana kuwa waongo.
\c 2 \v 1 Kwa malaika wa kanisa la Efeso andika: 'Haya ni maneno ya yule anayeshikilia zile nyota saba katika mkono wake wa kuume. Yeye atembeaye kati ya vinara vya dhahabu vya taa saba asema hivi, " \v 2 '"Najua ambacho umetenda na bidii yako ya kazi na uvumilivu wako thabiti, na kwamba huwezi kuhusiana nao walio waovu, na umewajaribu wote wanaojiita kuwa mitume na kumbe siyo, na wameonekana kuwa waongo.