Tue Sep 05 2023 07:28:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-09-05 07:28:29 +03:00
parent 5634b07c42
commit f1329b07fa
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Mnyama aliyekuwepo, lakini sasa hayupo, yeye pia ni mfalme wa nane; lakini ni mmoja wa wale wafalme saba, na anaenda kwenye uharibifu.
\v 11 Mnyama aliyekuwepo, lakini sasa hayupo, yeye pia ni mfalme wa nane; lakini ni mmoja wa wale wafalme saba, na mwenyewe anaenda kwenye uharibifu wake.

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Zile pembe kumi ulizoziona ni wafalme kumi ambao hawajapokea ufalme, lakini watapokea mamlaka kama wafalme kwa saa moja pamoja na mnyama. \v 13 Hawa wana shauri moja, na watampa nguvu zao na mamlaka yule mnyama. \v 14 Watafanya vita baina yao na Mwana kondoo. Lakini Mwana kondoo atawashinda kwa sababu ni Bwana wa mabwana na Mfalme wa wafalme - na katika yeye tuliitwa, tulichaguliwa, waaminifu."
\v 12 Zile pembe kumi ulizoziona ni wafalme kumi ambao hawajapokea ufalme, lakini watapokea mamlaka kama wafalme kwa saa moja pamoja na mnyama. \v 13 Hawa wana shauri moja, na watampa nguvu zao na mamlaka yule mnyama. \v 14 Watafanya vita baina yao na Mwana kondoo. Lakini Mwana kondoo atawashinda kwa sababu ni Bwana wa mabwana na Mfalme wa wafalme - na waliyo naye ni wale walioitwa, waliochaguliwa, na walio waaminifu."