Tue Sep 05 2023 07:16:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-09-05 07:16:29 +03:00
parent 37a797f093
commit 71baa96213
2 changed files with 3 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Malaika wa sita alimwaga kutoka kwenye bakuli lake katika mto mkubwa, Frati, na maji yake yakakauka ili kuweza kuandaa njia kwa wafalme watakaokuja kutoka mashariki. \v 13 Nikaona roho tatu chafu zilizoonekana kama chura watokao nje ya mdomo wa yule joka, yule mnyama, na yule nabii wa uongo. \v 14 Ni roho za pepo zitendazo ishara na miujiza. Walikuwa wakienda kwa wafalme wa dunia yote ili kuweza kuwakusanya pamoja kwa vita katika siku kuu ya Mungu, mwenye kutawala juu ya vyote.
\v 12 Malaika wa sita alimwaga kutoka kwenye bakuli lake katika mto mkubwa, Frati, na maji yake yakakauka ili kuweza kuandaa njia kwa wafalme watakaokuja kutoka mashariki. \v 13 Nikaona roho tatu chafu zilizoonekana kama chura watokao nje ya mdomo wa yule joka, yule mnyama, na yule nabii wa uongo. \v 14 Ni roho za pepo zitendazo ishara na miujiza. Walikuwa wakienda kwa wafalme wa dunia yote ili kuweza kuwakusanya pamoja kwa vita katika siku kuu ya Mungu, mwenye nguvu zote.

View File

@ -177,6 +177,8 @@
"16-04",
"16-08",
"16-10",
"16-12",
"16-15",
"17-title",
"18-title",
"19-title",