Tue Sep 05 2023 05:00:24 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
669f1e2acd
commit
148385cb83
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 3 Malaika mwingine akaja, ameshikilia bakuli ya dhahabu yenye uvumba, amesimama madhabahuni. Akapewa uvumba mwingi ili kwamba autoe pamoja na maombi ya waamini wote katika madhabahu ya dhahabu mbele ya kiti cha enzi. \v 4 Moshi wa ule uvumba, pamoja na maombi ya waamini, ukapanda juu mbele za Mungu kutoka mkononi mwa malaika. \v 5 Malaika akatwaa bakuli la uvumba na akalijaza moto kutoka kwenye madhabahu. Kisha akalitupa chini juu ya nchi, na kukatokea sauti za radi, miale ya radi na tetemeko la nchi.
|
||||
\v 3 Malaika mwingine akaja, ameshikilia bakuli ya dhahabu yenye uvumba, amesimama madhabahuni. Akapewa uvumba mwingi ili kwamba autoe pamoja na maombi ya waamini wote katika madhabahu ya dhahabu mbele ya kiti cha enzi. \v 4 Moshi wa ule uvumba, pamoja na maombi ya waamini, ukapanda juu mbele za Mungu kutoka mkononi mwa malaika. \v 5 Malaika akatwaa bakuli la uvumba na akalijaza moto kutoka kwenye madhabahu. Kisha akalitupa chini juu ya nchi, na kukatokea sauti za radi, miale ya radi na tetemeko la ardhi.
|
|
@ -103,6 +103,7 @@
|
|||
"07-15",
|
||||
"08-title",
|
||||
"08-01",
|
||||
"08-03",
|
||||
"09-title",
|
||||
"10-title",
|
||||
"11-title",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue