Compare commits

...

10 Commits

14 changed files with 34 additions and 7 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 1 \v 1 Mungu alimwambia Musa katika hema ya kukutania walipokuwa katika jangwa la Sinai. Hii ilitokea katika siku ya kwanza ya mwezi wa pili miaka miwili baadaya Waisraeli kutoka nchi ya Misri. Mungu alisema, \v 2 'fanya sensa ya wanaume wote wa Israeli kutoka kila ukoo, katika familia za baba zao. Wahesabu kwa majina, wahesabu kila mume, kila mwanamume /v \v 3 kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi. Uwahesabu wote wanaoweza kupigana kama askari wa Israeli. Wewe na Haruni mtaandika idadi ya wanaume katika makundi ya majeshi yao.
\c 1 \v 1 Mungu alimwambia Musa katika hema ya kukutania walipokuwa katika jangwa la Sinai. Hii ilitokea katika siku ya kwanza ya mwezi wa pili miaka miwili baadaya Waisraeli kutoka nchi ya Misri. Mungu alisema, \v 2 'fanya sensa ya wanaume wote wa Israeli kutoka kila ukoo, katika familia za baba zao. Wahesabu kwa majina, wahesabu kila mume, kila mwanamume \v 3 kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi. Uwahesabu wote wanaoweza kupigana kama askari wa Israeli. Wewe na Haruni mtaandika idadi ya wanaume katika makundi ya majeshi yao.

1
35/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Lakini kama yule mtuhumiwa muda fulani ataenda nje ya mipaka ya mji a ukimbizi ambao alikimbilia, \v 27 na kama yule mlipa kisasi cha damu atamwona nje ya mipaka ya mji wake wa ukimbizi, kama atamuwa huyo mtuhumiwa, mlipa kisasi cha damu hatakuwa na hatia ya mauaji hayo. \v 28 Hii ni kwa sababu yule mtuhumiwa alitakiwa kubaki katika mji wake wa ukimbizi mpaka kuhani mkuu atakapokufa. Baada ya kifo cha kuhani mkuu, yule mtuhumiwa atarejea kwenye nchi yake ambako kuna mali yake.

1
35/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 Hizi amri zitakuwa maagizo kwenu kwa kizazi chote mahali kote mnakoishi. \v 30 Yeyote amwuaye mtu, muwaji lazima atauawa, kama neno la ushahidi litakavyotolewa. Lakini ushahidi wa mtu mmoja unaweza usitoshe kusababisha mtu kuuawa.

1
35/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Pia, msipokee fidia kwa ajili ya uhai wa muwaji ambaye ana hatia ya mauti. Kwa hakika lazima auawe. \v 32 Na msipokee fidia ya mtu aliyekimbilia kwenye miji ya ukimbizi. Msimruhusu kwa namna yeyote kurudi kwenye mali zake mpaka pale kuhani mkuu atakapokufa.

1
35/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Msiiharibu nchi mnayokaa kwa namna hii, kwa kuwa damu ya muwaji huharibu nchi. Hakuna sadaka ya upatanisho inayoweza kufanywa kwa nchi pale damu inapomwagika juu yake, isipokuwa kwa damu ya mtu aliyeimwaga. \v 34 Kwa hiyo msiinajisi nchi mnayoishi kwa sababu Mimi ninaishi ndani yake. Mimi BWANA huishi kati ya watu wa Israeli."'

1
36/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 36 \v 1 Kisha wale viongozi wa nyumba za mababu wa ukoo wa Gileadi mwana wa Machiri (ambaye alikuwa mwana wa Manase), ambao walikuwa wa ukoo wa uzao wa Yusufu, walikuja wakasema mbele za Musa na mbele za vionigozi wa familia za mababa wa watu wa Israeli. \v 2 Wakasema, "BWANA alikuamuru, wewe bwana wetu, kutupa mgao wa ardhi kwa kura kwa wana wa Israeli. Uliamuriwa na BWANA kutoa mgao wa Zerofehadi kaka yetu kwa binti zake.

1
36/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Lakini hawa binti wameolewa na wanaume toka kabila zingine za wana wa Israeli, basi mgao wao wa ardhi utaondolewa kutoka kwenye mgao wa mababu zao. Utaongezwa kwenye mgao wa makabila ambayo wao wanaungana nao. Kwa sababu hiyo, Utaondolewa kwenye mgao uliopangwa kwenye urithi wetu. \v 4 Kwa sababu hiyo, wakati wa mwaka wa yubilee ya wana wa Israeli utakapofika, mgao wao utaunganishwa na kabila ile waliyoungana nao. Kwa sababu hii mgao wao utaondolewa kwenye mgao wa mababu zetu."

1
36/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Basi Musa akawapa amri wana wa Israeli, kwa neno la BWANA. Akasema, "Kile wanachosema watu wa kabila la Yusufu kiko sahihi. \v 6 Hiki ndicho BWANA anaagiza kuhusu mabinti wa Zelofehadi. Anasema, 'Acha waolewa na wale ambao wao wanaofikiri ni vizuri zaidi, lakini lazima waolewe ndani ya kabila ya baba yao.'

1
36/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Hakuna mgao wa watu utakaobadilika kutoka kabila moja kwenda jingine. Kila mtu wa Israeli ataendelea na mgao wa kabila ya baba yake.

1
36/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Kila mwanamke wa watu wa Israeli aliye na mgao kwenye kabila lake lazima aolewe na mtu wa ukoo unaotoka kwenye kabila la baba yake. Hii itafanyika hivyo ili kila mtu wa wana wa Israeli aweze kuwa na urithi kutoka kwa mababu zake. \v 9 Hakuna mgao utakaobadilika kutoka kabila lingine kwenda kabila lingine. Kila mtu wa kabila za watu wa Israeli atalinda urithi wake."

1
36/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Kwa hivyo wale binti wa Zelofehadi walifanya kama vile BWANA alivyokuwa amemwamuru Musa. Mahila, Tiriza, Hogila, Milika, na Noha, binti za \v 11 Zelofehadi, waliolewa na wana wa uzao wa Manase. \v 12 Waliolewa katika koo za uzao wa Manase mwana wa Yusufu. Kwa sababu hii, urithi wao ulibaki kwenye kabila la ukoo ambalo baba yao alikuwa anatoka.

1
36/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Hizi ndizo amri na maagizo ambayo BWANA aliyatoa kupitia Musa kwa wana wa Israeli katika nyanda za Moabu karibu na Yordani huko Yeriko.

1
36/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 36

View File

@ -3,7 +3,7 @@
"format": "usfm",
"generator": {
"name": "ts-desktop",
"build": "27"
"build": "195"
},
"target_language": {
"id": "sw",
@ -19,22 +19,23 @@
"name": "Text"
},
"resource": {
"id": "reg",
"name": "Regular"
"id": "ulb",
"name": "Unlocked Literal Bible"
},
"source_translations": [
{
"language_id": "sw",
"resource_id": "ulb",
"checking_level": "3",
"date_modified": "2021-10-26T13:25:07.6567215+00:00",
"date_modified": "2023-05-11T16:03:49.0749342+00:00",
"version": "7.6"
}
],
"parent_draft": {},
"translators": [
"Edmbracekenya",
"Nicholus"
"Nicholus",
"winnie"
],
"finished_chunks": [
"front-title",
@ -215,6 +216,7 @@
"09-22",
"10-title",
"10-01",
"10-03",
"10-06",
"10-09",
"10-10",
@ -578,6 +580,7 @@
"33-55",
"34-title",
"34-01",
"34-04",
"34-06",
"34-07",
"34-10",
@ -599,6 +602,18 @@
"35-16",
"35-19",
"35-22",
"35-24"
"35-24",
"35-26",
"35-29",
"35-31",
"35-33",
"36-title",
"36-01",
"36-03",
"36-05",
"36-07",
"36-08",
"36-10",
"36-13"
]
}