Sun Apr 23 2023 20:37:51 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-23 20:37:52 +03:00
parent 05fca4beb3
commit ff7ef51d42
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 27 Kiongozi kutoka kabila la uzao wa Asheri, Ahihudi mwana wa Shelomi. 28 Kiongozi kutoka kabila la uzao wa Naftali, Pedaheli mwana wa Amihudi." 29 BWANA aliwaamuru wanaume hawa kuigawa nchi ya Kanaani na kuwapa kila kabla sehemu yao.
\v 27 Kiongozi kutoka kabila la uzao wa Asheri, Ahihudi mwana wa Shelomi. \v 28 Kiongozi kutoka kabila la uzao wa Naftali, Pedaheli mwana wa Amihudi." \v 29 BWANA aliwaamuru wanaume hawa kuigawa nchi ya Kanaani na kuwapa kila kabla sehemu yao.

1
35/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 35 \v 1 BWANA akanena na Musa kwenye nyanda za Moabu karibu na Yorodani kule Yeriko akasema, \v 2 "Waamuru watu wa Israeli kutoa sehemu ya urithi wa ardhi yao kwa Walawi. Watawapa miji ya kuishi ndani yake na eneo la malisho kuzunguka miji hiyo.

1
35/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Walawi watakuwa na miji hiyo ya kuishi. Eneo la malisho litakuwa kwa ajili ya ng'ombe zao, kondoo zao, na wanyama wao wote.\v 4 Hayo malisho yatakayozunguka miji hiyo ambayo mtawapa Walawi yataanzia kwenye maboma kwa ukubwa wa "mita 457" kila upande.

1
35/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 35

View File

@ -585,6 +585,9 @@
"34-16",
"34-19",
"34-21",
"34-24"
"34-24",
"34-27",
"35-title",
"35-01"
]
}