Fri Apr 21 2023 17:05:45 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 17:05:46 +03:00
parent e585b60da4
commit fe29ced488
3 changed files with 5 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 31 Kwa hiyo Israeli akaanza kuishi katika nchi ya Waamori, \32 Kisha Musa akatuma watu kwenda kuingalia Yaziri. Waliviteka vijiji vyake na kuwafukuza Waamori waliokuwa wakiishi humo.
\v 31 Kwa hiyo Israeli akaanza kuishi katika nchi ya Waamori, \v 32 Kisha Musa akatuma watu kwenda kuingalia Yaziri. Waliviteka vijiji vyake na kuwafukuza Waamori waliokuwa wakiishi humo.

1
21/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Kisha wakageuka na kuelekea njia inayoelekea Bashani. Ogu mfalme wa Bashani akatofautiana nao, yeye na Jeshi lake lote, ili apigane nao kule Ederei. \v 34 Kisha BWANA akasema na Musa, "Msimwogope, kwa sababu nimewapeni ushindi dhidi yake, Jeshi lake lote na nchi yake. Mfanyeni kama mlivyomfanya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyekuwa akiishi Heshiboni." \v 35 Kwa hivyo wakamuua, na wanawe, na jeshi lake lote, mpaka wote wakaishi na hakubaki hata mmoja aliyekuwa hai. Kisha wakaichukua nchi yake.

View File

@ -379,6 +379,8 @@
"21-21",
"21-24",
"21-27",
"21-29"
"21-29",
"21-31",
"21-33"
]
}