Sat Apr 22 2023 07:10:48 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-22 07:10:49 +03:00
parent 834c79e253
commit fada8e4e41
4 changed files with 7 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 25 Kisha Balaki akamwambia Balaamu, "Kamwe usiwalaani wala kuwabariki." 26 Lakini Balaamu akamjibu Balaki, "Sijakuambia kuwa nitasema yote ambayo BWANA ananiambia kusema? 27 Balaki akamwambia Balaamu, "Njoo sasa, Nami nitakupeleka mahali pengine. Labda kule itampendeza Mungu kunilaania hawa watu."
\v 25 Kisha Balaki akamwambia Balaamu, "Kamwe usiwalaani wala kuwabariki." \v 26 Lakini Balaamu akamjibu Balaki, "Sijakuambia kuwa nitasema yote ambayo BWANA ananiambia kusema? \v 27 Balaki akamwambia Balaamu, "Njoo sasa, Nami nitakupeleka mahali pengine. Labda kule itampendeza Mungu kunilaania hawa watu."

2
23/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\v 28 Kwa hiyo Balaki akampeleka Balaamu juu ya
Mlima Peori, ambao unalitazama chini lile jangwa, \v 29 Balaamu akamwambia Balaki, "Nijengee madhabahu saba hapa na uniandalie mafahari saba na kondoo dume saba. \v 30 "Kwa hivyo Balaki akafanya kama alivyoambiwa; akatoa sadaka ya fahari na kondoo mume kwenye kila madhabahu.

1
24/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 24

View File

@ -412,6 +412,8 @@
"23-19",
"23-21",
"23-23",
"23-24"
"23-24",
"23-25",
"23-28"
]
}