Sat Apr 22 2023 08:03:01 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-22 08:03:01 +03:00
parent e2bc224e9c
commit fa815e9a4f
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Utaweka baadhi ya mamlaka yako kwake, ili kwamba watu wote wa Isareli wamtii. \21 Ataenda mbele ya Eliazari kuhani ili kutafuta mapenzi yangu kwake kwa ajili ya maamuzi ya kura. Yeye ndiye atakayetoa amri ili watu waweze kutoka na kuingia, yeye pamoja na watu wa Israeli, ambao ni watu wote."
\v 20 Utaweka baadhi ya mamlaka yako kwake, ili kwamba watu wote wa Israeli wamtii. \v 21 Ataenda mbele ya Eliazari kuhani ili kutafuta mapenzi yangu kwake kwa ajili ya maamuzi ya kura. Yeye ndiye atakayetoa amri ili watu waweze kutoka na kuingia, yeye pamoja na watu wa Israeli, ambao ni watu wote."

1
27/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Kwa hiyo Musa akafanya kama alivyoagizwa na BWANA. Alimchukua Joshua na kumweka mbele ya Eliazari kuhani na mbele ya jamii yote. \v 23 Akaweka mikono yake juu yake na kumwamuru aongoze, kama BWANA alivyokuwa amemwamuru kufanya.

1
28/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 28 \v 1 BWANA akanena na Musa akamwambia, \v 2 "Waamuru wana wa Isrseli uwaambie, 'Mtanitolea sadaka kwa wakati uliopangwa, chakula cha sadaka yangu kilichotengenezwa kwa moto ili kutoa harufu nzuri kwa ajili yangu.

1
28/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 28

View File

@ -474,6 +474,9 @@
"27-09",
"27-12",
"27-15",
"27-18"
"27-18",
"27-20",
"27-22",
"28-title"
]
}