Fri Apr 21 2023 16:33:37 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 16:33:38 +03:00
parent 31ce120118
commit f6fa1bbafa
4 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
19/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Lakini yule atakayebaki najisi, anayekataa kujitakasa mwenyewe -- huyo mtu ataondolewa kutoka kwenye jamii, kwa sababu amepanajisi patakatifu pa BWANA. Hajanyunyiziwa maji ya utakaso; atabaki najisi. \v 21 Hii itakuwa sheria ya kudumu kuhusiana na hali ya hivi. Yule mtu anayenyunyizia maji ya farakano atafua mavazi yake. Yule atakayeyagusa maji ya farakano atakuwa najisi mpaka jioni. \v 22 Chochote kile ambacho kitaguswa na mtu najisi kitakuwa najisi. na mtu atakayekigusa naye atakuwa najisi mpaka jioni.

1
20/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 20 \v 1 Kwa hivyo wana wa Israeli, na jamii yote ya watu, wakaenda katika jangwa la Sini katika mwezi wa kwanza; wakakaa Kadeshi. Hapo ndipo Miriamu alipofia na kuzikwa.

1
20/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 20

View File

@ -348,6 +348,8 @@
"19-09",
"19-11",
"19-14",
"19-17"
"19-17",
"19-20",
"20-title"
]
}