Fri Apr 21 2023 16:23:35 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 16:23:36 +03:00
parent 8bc0161034
commit ef4f48b490
4 changed files with 6 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 25 BWANA akanena na Musa, akamwambia, \v 26 "Inakupasa ukaseme na Walawi uwaambie, 'Mnapopokea zaka toka kwa watu ambayo BWANA amewapa kutoka kwao kuwa urithi, ndipo na nyie mtakapotoa sehemu ya kumi ya zaka hizo. 27 Zaka yenu itahesabika kama moja ya mapato ya sakafu ya kupuria nafaka ya mazao yenu au mazao ya vinu vya kukamulia zabibu.
\v 25 BWANA akanena na Musa, akamwambia, \v 26 "Inakupasa ukaseme na Walawi uwaambie, 'Mnapopokea zaka toka kwa watu ambayo BWANA amewapa kutoka kwao kuwa urithi, ndipo na nyie mtakapotoa sehemu ya kumi ya zaka hizo. \v 27 Zaka yenu itahesabika kama moja ya mapato ya sakafu ya kupuria nafaka ya mazao yenu au mazao ya vinu vya kukamulia zabibu.

1
18/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Kwa hivyo na nyinyi lazima mtoe mchango wenu kwa BWANA kutokana na zaka mnazopata kutoka kwa watu wa Israeli. Kutokana na hizo mtatoa matoleo yenu kwa Haruni yule kuhani. \v 29 Kwa kila sadaka mnayopata, mtatoa matoleo yenu kwa BWANA. Mtafanya hivi kutokana na vitu vizuri na vitakatifu sana ambavyo mmepewa.

1
18/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Kwa hivyo utawaambia, 'Mnapotoa hayo matoleo mazuri, ndipo itahesabika kwa Walawi kuwa ni mazao yao kutoka kwenye sakafu za kupuria na vinu vyao vya kukamulia. \v 31 Ndipo matakapokula nafaka zote zinazobaki mahali popote, nyinyi na familia zenu kwa sababu ndiyo malipo yenu ya kazi kwenye hema ya kukutania. \v 32 Hamtakuwa na hatia yeyote kwa kuvila na kuvinywa, kama mtatoa kwa BWANA matoleo yenu mazuri mliyopokea. Lakini msizinajisi sadaka takatifu za wana wa Israeli, la sivyo mtakufa.,"

View File

@ -337,6 +337,8 @@
"18-17",
"18-19",
"18-21",
"18-23"
"18-23",
"18-25",
"18-28"
]
}