Fri Apr 21 2023 10:24:50 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 10:24:51 +03:00
parent 310599014b
commit e7b054a56c
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 29 Hii ndiyo sheria ya wivu. Ni sheria ya mwanamke anaye mgeuka mumewe na kunajisika. \v 30 Ni sheria ya mwanaume mwenye roho ya wivu kwa mkewe. Atamleta mwanamke mbele ya BWANA, na kuhani atamfanyia huyo mwanamke kila kitu ambacho sheria ya wivu inamtaka kufanya.

1
05/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Yule mwanaume atakuwa hana hatia kwa kumleta mke wake kwa kuhani. Na yule mwanamke atauchukua uovu wake."

1
06/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 6 \v 1 BWANA alinena na Musa. Akamwambia, \v 2 'Nena na wana wa Israeli, uwaambie, 'Kama mume au mke ataweka nadhiri kwa BWANA kwa kiapo maalumu cha mnadhiri, ndipo atajiepusha na divai na vileo. hatakunywa siki itokanayo na divai. \3 Asinywe kileo kitokanacho na siki au kilevi. Asinywe maji ya divai yeyote au kula zabibu mbichi wala zilizokauka. 4 Katika siku zote ambazo amejitenga kwa ajili yangu, asile chochote kinachotokana na zabibu, wala kitu chochote kitokanacho na makokwa hadi maganda.

1
06/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 6

View File

@ -138,6 +138,9 @@
"05-20",
"05-23",
"05-24",
"05-27"
"05-27",
"05-29",
"05-31",
"06-title"
]
}