Sat Apr 22 2023 07:24:50 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-22 07:24:51 +03:00
parent 2463244160
commit cb1dc25677
4 changed files with 6 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Kisha Balaamu akamtazama Amaleki na akaanza kutoa unabii wake. Alisema, "Amaleki alikuwa mkuu katika mataifa, lakini mwisho wake utakuwa uharibifu."
\v 20 Kisha Balaamu akamtazama Amaleki na akaanza kutoa unabii wake. Alisema, "Amaleki alikuwa mkuu katika mataifa, lakini mwisho wake utakuwa uharibifu."

1
24/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Kisha Balaamu akawatazama Wakeni na akaanza kutoa unabii wake. Akasema, "Mahali unapoishi pana usalama, na viiota vyake viko kwenye miamba. \v 22 Lakini pamoja na hayo, Kaini ataharibiwa na Ashuru atakapowachukua mateka."

1
24/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Kisha Balaamu akaanza unabii wake wa mwisho. Akasema, "Ole wake, nani atakayesalia Mungu atakapoyafanya haya? \v 24 Merikebu zitakuja toka pwani ya Kittimu; Zitaivamia Ashuru na kuiharibu Eberi, lakini wao pia wataishia kwenye uharibifu." Kisha Balaamu akainuka na kuondoka. Akarudi nyumbani kwake, na Balaki naye akaondoka. \v 25 Ndipo Balaamu akaamka akaenda. Akarudi kwa boma lake,na Balaki naye akaondoka.

View File

@ -427,6 +427,8 @@
"24-12",
"24-15",
"24-17",
"24-18"
"24-18",
"24-20",
"24-21"
]
}