Sat Apr 22 2023 07:52:58 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-22 07:52:59 +03:00
parent 889af49282
commit c4cf0e4ba9
4 changed files with 7 additions and 1 deletions

1
26/63.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 63 Hawa ndio wale walihesabiwa na Musa na Eliazari kuhani. Waliwahesabu watu wa Israeli katika uwanda wa Moabu karibu na Yorodani kule Yeriko. \v 64 Lakini miongoni mwa hawa hapakuwa na mwanamume aliyehasabiwa na Musa na Haruni kuhani wakati wana wa uzao wa Israeli walipohesabiwa katika jangwa la Sinai.

1
26/65.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 65 Kwa BWANA alikuwa amesema kuwa kwa hakika watu hao wote wangefia jangwani. Hapakuwa na mtu aliyebaki miongoni mwao, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune na Joshua mwana wa Nuni.

1
27/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 27

View File

@ -463,6 +463,9 @@
"26-52",
"26-54",
"26-57",
"26-60"
"26-60",
"26-63",
"26-65",
"27-title"
]
}