Fri Apr 21 2023 11:59:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 11:59:14 +03:00
parent e3bbfcd984
commit b4a651174a
4 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Wakati mwingine wingu lilibaki kwa siku chache tu kwenye masikani. Kwa mazingira kama hayo walilazimika kutii amri ya BWANA - waliweka kambi na kisha kuendelea na safari tena kwa amri yake. \v 21 Wakati mwingine wingu lilikuwepo kambini kuanzia jioni mpaka asubuhi. Na wingu liliponyanyuliwa asubuhi, walisafiri. Kama liliendelea kwa mchana wote na kwa usiku wote, ni pale tu wingu liliponyanyuliwa ndipo walipoendelea na safari.

2
09/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\v 22 Hata kama wingu lilibaki kwenye masikani kwa siku mbili, kwa mwezi mmoja, au kwa mwaka mmoja, ili mradi tu limebaki pale, wana wa Israeli walibaki kwenye kambi zao na kusitisha safari. Lakini pale wingu liliponyanyuliwa, walianza safari yao. \v 23 Walifanya kambi kwa amri ya BWANA, na walisafiri kwa amri yake. Walitii amri ya BWANA
iliyotolewa kupitia kwa Musa.

1
10/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 10

View File

@ -210,6 +210,9 @@
"09-11",
"09-13",
"09-15",
"09-18"
"09-18",
"09-20",
"09-22",
"10-title"
]
}