Sat Apr 22 2023 07:32:53 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
8376966da4
commit
a18feec261
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 14 Sasa yule Muisraeli aliyeuwawa pamoja na Yule mwanamke Mmidiani alikuwa Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa familia ya uzao wa Simeoni. \v 15 Jina la yule Mmidiani aliyeuwawa lilikuwa Cozibi binti wa Zuri, ambaye alikuwa mkuu wa familia wa kabila huko Midiani.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 16 Kwa hiyo BWANA akanena na Musa na kusema, \v 17 "Watendee Wamidiani kama maadui na uwaangamize, kwa kuwa waliwatendea kama maadui \v 18 kwa kuwadanganya. Waliwaongoza katika uovu kwa swala la Peori na kwa swala la dada yao Cozibi, binti wa kiongozi wa Wamidiani, ambaye aliuawa siku ile ya tauni kwa swala la Peori."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 26
|
|
@ -437,6 +437,9 @@
|
|||
"25-06",
|
||||
"25-08",
|
||||
"25-10",
|
||||
"25-12"
|
||||
"25-12",
|
||||
"25-14",
|
||||
"25-16",
|
||||
"26-title"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue