Fri Apr 21 2023 16:49:41 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 16:49:42 +03:00
parent 06c0cdbd16
commit 9dbf0c1d3c
4 changed files with 7 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 25 Mchukue Haruni na Eliazari mwanaye, na uwalete juu ya Mlima Hori. \v 26 Umvalishe Haruni yale mavazi ya kikuhani na umvalishe Eliazari mwanaye. HaruniHaru atakufa na kulazwa pamoja na watu wake."
\v 25 Mchukue Haruni na Eliazari mwanaye, na uwalete juu ya Mlima Hori. \v 26 Umvalishe Haruni yale mavazi ya kikuhani na umvalishe Eliazari mwanaye. Haruni atakufa na kulazwa pamoja na watu wake."

1
20/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Musa akafanya kama BWANA alivyo mwamuru. Wakaenda juu y a Mlima Hori na watu wote wakiona. \v 28 Musa akamvalisha Haruni yale mavazi ya kikuhani na kumvalisha Mwanaye Eliazari. Haruni akafa pale juu ya Mlima Hori. Kisha Musa na Eliazari wakashuka. \v 29 Watu walipoona kuwa Haruni amekufa, taifa lote wakamlilia Haruni kwa siku arobaini.

1
21/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 21

View File

@ -362,6 +362,9 @@
"20-17",
"20-18",
"20-20",
"20-22"
"20-22",
"20-25",
"20-27",
"21-title"
]
}