Fri Apr 21 2023 14:07:37 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 14:07:37 +03:00
parent 9ce685de8b
commit 929de82c26
3 changed files with 5 additions and 1 deletions

1
16/47.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 47 Kwa hiyo Haruni akafanya kama alivyoelekezwa na Musa. Akakimbia kati ya watu. na Tauni ilikuwa imeanza kuenea kati ya watu, kwa hiyo akaweka ndani yake uvumba na akafanya upatanisho wa watu. \v 48 Haruni akasimama kati kati ya zile maiti na watu walio hai; na kwa njia hii ile tauni ikazuiwa.

2
16/49.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\v 49 Idadi ya wale waliokuwa wamekufa kwa tauni walikuwa14, 000, nje na wale waliokufa kutokana na
swala la Kora. \v 50 Haruni akarudi kwa Musa kwenye lango la hema ya kukutania, na ile tauni ikakoma.

View File

@ -316,6 +316,7 @@
"16-36",
"16-39",
"16-41",
"16-44"
"16-44",
"16-47"
]
}