Fri Apr 21 2023 11:35:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 11:35:10 +03:00
parent 906fd4a8e8
commit 6969ec4025
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 84 Viongozi wa Israeli waliviweka wakfu hivi vitu vyote siku ambayo Musa alimimina mafuta kwenye madhabahu.Waliziweka wakfu zile sahani kumi na mbili za fedha, Bakuli kumi na mbili za fedha, na vijiko kumi na mbili vya dhahabu. \v 85 Zile sahani za fedha kila moja ilikuwa na uzani wa shaekeli 130 na kila bakuli ya fedha ilikuwa na uzani wa shekeli sabini. Vyombo vyote vya fedha vilikuwa na ujumla ya uzani wa shekeli 2,400, kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. \v 86 Vile vijiko vya dhahabu vilivyokuwa vimejaa ubani, vilikuwa na uzani wa shekeli kumi kila kimoja. Vijiko vyote vya dhahabu vilikuwa na uzani wa shekeli 120.

1
07/87.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 87 Waliwatenga wanyama wote kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa, fahari kumi na wawili, kondoo dume kumi na wawili, na wanakondoo dume kumi na wawili wa mwaka mmoja mmoja. Walitoa sadaka yao ya unga. Walitoa beberu kumi na wawili kuwa sadaka ya dhambi. \v 88 Kutokana na ng'ombe zao, walitoa fahari ishirini na nne, kondoo dume sitini beberu sitini, na wanakondoo dume sitini wa mwaka mmoja kuwa sadaka ya amani. Hii ilikuwa kwa ajili ya kuiweka wakfu ile madhabahu baada ya kumiminiwa mafuta.

1
07/89.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 89 Musa alipoingia kwenye hema ya kukutania kusema na BWANA, ndipo alipoisikia sauti yake ikisema naye. BWANA alinena naye kutoka juu ya kiti cha rehema kilichokuwa juu ya sanduku la ushahidi, kutoka katikati ya makerubi. Alinena naye.

1
08/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 8

View File

@ -184,6 +184,9 @@
"07-72",
"07-75",
"07-78",
"07-81"
"07-81",
"07-84",
"07-87",
"07-89"
]
}