Fri Apr 21 2023 13:03:27 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 13:03:28 +03:00
parent f1b9704bdc
commit 5d26740d1b
4 changed files with 6 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
30 Kisha Kalebu akawatuliza watu waliokuwa mbele ya Musa, akasema, "Twendeni tukaiteke nyara hiyo nchi, kwa kuwa tuna uhakika wa kuikamata." 31 Lakini wale watu waliokuwa wameenda naye walisema, "Hatutaweza kuwashinda hao watu kwa kuwa wao ni hodari kuliko sisi." 32
\v 30 Kisha Kalebu akawatuliza watu waliokuwa mbele ya Musa, akasema, "Twendeni tukaiteke nyara hiyo nchi, kwa kuwa tuna uhakika wa kuikamata." \v 31 Lakini wale watu waliokuwa wameenda naye walisema, "Hatutaweza kuwashinda hao watu kwa kuwa wao ni hodari kuliko sisi."

1
13/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 Kwa hiyo wakasambaza taarifa za kukatisha tamaa kwa wana wa Israeli juu ya nchi ile waliyoipeleleza. Walisema, "Ile nchi tuliyoiona ni nchi inayowala watu wake. Watu wote tuliowaona ni watu warefu. \v 33 Kule tuliiona majitu, wana wa uzao wa Anaki, ambao ni uzao wa majitu. Sisi tulionekana kama panzi machoni mwao tulipojilinganisha nao, hivyo ndivyo tulivyoonekana machoni mwao pia."

1
14/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 1

View File

@ -260,6 +260,8 @@
"13-21",
"13-23",
"13-25",
"13-27"
"13-27",
"13-30",
"13-32"
]
}