Sat Apr 22 2023 08:33:07 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-22 08:33:08 +03:00
parent 023666fb57
commit 51cccc0409
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
15 Na kama mume wake atajariibu kubatilisha kiapo cha mke wake baada ya kuzisikia kwa muda mrefu, basi ataajibika kwa dhambi zake." 16 Hizi ndizo amri ambazo Mungu alimwamuru Musa kuzitangaza - amri ambazo ziko kati ya mume na mke wake na kati ya baba na binti yake wakati akiwa katika ujana wake katika familia ya baba yake.
\v 15 Na kama mume wake atajariibu kubatilisha kiapo cha mke wake baada ya kuzisikia kwa muda mrefu, basi ataajibika kwa dhambi zake." \v 16 Hizi ndizo amri ambazo Mungu alimwamuru Musa kuzitangaza - amri ambazo ziko kati ya mume na mke wake na kati ya baba na binti yake wakati akiwa katika ujana wake katika familia ya baba yake.

1
31/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 31 \v 1 BWANA alinena na Musa na kumwambia, \v 2 "Uwalipizie kisasi Wamidiani kwa kile walichowafanyia Waisraeli. Baada ya kufanya hivyo utakufa na kukusanyika na watu wako."

1
31/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Kwa hiyo Musa akawaambia watu. Akasema, "Andaeni baadhi ya majeshi yenu kwa ajili ya vita ili kwamba wakawapige Wamidiani na kubeba kiapo cha BWANA. \v 4 Kwa kila kabila la Israeli watatuma askari elfu moja kwa ajili ya vita." \5 Kwa hiyo kati ya wanaume maelfu elfu wa Israeli, wanaume elfu moja walitolewa kwa ajili ya vita, jumla ya wanaume elfu kumi na mbili.

1
31/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 31

View File

@ -515,6 +515,9 @@
"30-08",
"30-09",
"30-12",
"30-13"
"30-13",
"30-15",
"31-title",
"31-01"
]
}